nanananammmaa

Saturday, 16 November 2013

MADINI YA TANZANITE..

UTAMBULISHO WA TANZANITE FOUNDER FOUNDATION (TAFFO) KATIKA SIKU YA MAAZIMISHO YA MIAKA 46 YA UVUMBUZI WA MADINI YA ZOISITE INAYOJULIKANA LEO HII KAMA TANZANITE.



Mwenyekiti wa TANZANITE FOUNDER FOUNDATION, Bi. Asha Ngoma akionyesha cheti cha Uvumbuzi kilichotolewa na serikali mwaka 1984, mbele ya waandishi wa habari, katikati ni Mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, Kulia ni Bw. Baraka Msuya, Mjumbe wa taasisi.
Mwenyekiti wa TANZANITE FOUNDER FOUNDATION, Bi. Asha Ngoma akikifanunua jambo kuhusu shughuli za taasisi akiwa pamoja Mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite na Bw. Baraka Msuya, Mjumbe wa taasisi.
Mwenyekiti wa TANZANITE FOUNDER FOUNDATION, Bi. Asha Ngoma akionyesha cheti cha maabara ya madini  kilichotolewa mwaka 1967, mbele ya waandishi wa habari, kinachoonyesha ni madini pekee Duniani
Asasi mpya ya kiraia inayojulikana kwa jina la TANZANITE FOUNDER FOUNDATION, kwa kifupi “TAFFO”, Yatambulishwa rasmi mjini Dar Es Salaam,  ambayo Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite ni mmoja wa waanzilishi wake.

MADINI YA TANZANITE YANAPATIKANA TANZANIA